GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,619
- 128,010
Jaman na CC wekeni picha za pombee
Magufuli lazima azomewe tu kwa nini anamkataza mke wake kumnadi?
Kawe ni saa ngapi atakuwepo?
Anatokea Choo Kilipojaa Na Kimefungwa Na Hapo Sasa Anaelekea KUUKWEKA Ktk Choo Kingine Cha Muda Kilichopo Maporini Kawe.
Ukitoba Tabata kuja Sinza njia gani rahisi?.... We kweli kilaza kweli
Walio Na Utindio Wa AKILI.
Basi wasimcheleweshe maana siku alikuja mbezi msafara ulisimamishwa sana toka Goba na kufanya achelewe sanaJioni Mkuu. Ila mpaka sasa watu wameja vibaya sana..... Nafkiri itakuwa kama Tanga aisee
muinbox kabla maccm hayajacopyNimeipenda bure
Basi wasimcheleweshe maana siku alikuja mbezi msafara ulisimamishwa sana toka Goba na kufanya achelewe sana
mara ya kwanz kumiliki simu lini????Maswali ya kawaida kabisa:
Walijuaje Lowassa atatumia usafiri wa gari na sio Helkopta? Na walijiuaje njia atakayotumua na muda atakaopita?
WEwe au nani isiwe unajitolea taarifa zako kiainaLeo Watajitahidi Kumuwahisha ILI Kusudi Awahi Pia Na Ratiba Yake Muhimu Ya Kwenda CHOONI Kutoa Haja Kubwa Wazaramo Wanasema " KUUKWEKA ".