Msafara wa Lowassa Pemba Kufuru Mbaya

Msafara wa Lowassa Pemba Kufuru Mbaya

Leo mmeongea hvyo alafu subirini muone ndani ya siku mbili mnyika asipolalamika mm nahama nchi aaaahaaa eti mwamunyange kaamia kwao jamani sasa kama n kujifariji sasa kumezidi sanaaaa mwamunyange na jk hawajakutana chooni kama lowasa na jk aaaahaaaaaaaaa
Au niwatumie speech ya mwamnyange akimsifia amiri wake?pia akuna mwenye nguvu jeshini kama amiri jeshi pia wanaopindua nchi sio wakuu wa majeshi malofa nyie mipumbavu muwe mnatumia akili siku zingne
 
Mkuu natamani sana utuwekee video ya ENL akijisaidia jukwaani...vinginevyo ni propaganda tu za mfa maji
Mkuu msamehe hayo maneno yalianzishwa
na kuli mwenzao,sasa huku mtaani
watu hawaelewi lugha za wabeba mizigo.
 
Hata Shetani Pia Yupo Upande Wenu Na Ndiyo Maana Kwa Laana Za Mwenyezi Mungu Mgombea Wenu Haishi Kutoa Haja Kubwa Majukwaani.


Muunganishe na mazako uone uje uone shughuli yake

Sasa ivi mkipiga push up tunamweka Juma nyoso pembeni ya mgombea wenu amvizie
 
Nampenda Lowasa, Lowasa anapendwa na wengi kwa mioyo
 
Lowassa ni kama binadamu anayeishi kwenye sayari nyingine.

Karama yake ya kupendwa na watu haina mfano wa kiongozi mwingine yeyote ambaye amewahi kupatikana tokea nchi hii ipate uhuru wake mwaka 1961.

Hiyo ndiyo inafanya viongozi wengi wa CCM kipindi hiki hawapati hata lepe la usingizi.

Hata vamiavamia na mabomu ya hapa na pale yamepingua. Uchaguzi uliopita ulimpa Dr slaa stress hadi kanguka bafuni.
 
siku ya kuapisha nitakuwa na furaha nahisi nitafanya kitu cha ajabu
Najisikia fahari sana kwangu mimi kuwa kwenye timu ya ushindi.
Sijutii kumpenda Lowassa maana kila siku anazidi kunifurahisha.
Najiandaa kwenda kushuhudia akiapishwa panapo majaaliwa.
 
Hata Shetani Pia Yupo Upande Wenu Na Ndiyo Maana Kwa Laana Za Mwenyezi Mungu Mgombea Wenu Haishi Kutoa Haja Kubwa Majukwaani.
mwambie mgombea wako akatahiriwe usisambazee shombo la janaba
 
Hata Shetani Pia Yupo Upande Wenu Na Ndiyo Maana Kwa Laana Za Mwenyezi Mungu Mgombea Wenu Haishi Kutoa Haja Kubwa Majukwaani.

We dogo si juzi ulikua unalalamika "kufuatiliwa" ???

Kwa ujinga wako huu, hao "wanaokufuatilia" wataendelea "kukufuatilia" tu....
 
Najisikia fahari sana kwangu mimi kuwa kwenye timu ya ushindi.
Sijutii kumpenda Lowassa maana kila siku anazidi kunifurahisha.
Najiandaa kwenda kushuhudia akiapishwa panapo majaaliwa.


Wee acha tu...mkuu unajitambua sana...!!

Mungu akupe mume mwema, kamanda haswaaa...!!!

Mahaba tulio nayo kwa Lowassa, wengine tunaumwa kila siku...!!!

Lowassa, Lowassa, Lowassa, Lowassa, hakuna cha mpira wala nini, hadi UWANJA WA TAIFA, ni Lowassaaaaaa Madilikoooooo.... mabadilikooooo Lowassaaaaaaaa....!!!

Mahabat niue kabisaaaa kwa Lowassa
 
UKAWA ni fimbo ya Mussa
go go go lowassaaaaaaaaaa
Lumumba hawalali
 
Gentamycine na nape nawatakia maisha marefu ili mvune matunda ya midomo yenu. Mwenzenu ameshtuka ameanza kuuza sheli aruke ng'ambo, muda utasema na siku zitaongea
 
Back
Top Bottom