kajembejr
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 1,291
- 1,321
Nimeipenda hii. Kumbe Mwamunange timu Lowasa> Hii imaa vizuri.Nchitulshachukua hii!
Tatizo anastafu tar22 mwezi huu kabla ya uchaguzi
Nimeipenda hii. Kumbe Mwamunange timu Lowasa> Hii imaa vizuri.Nchitulshachukua hii!
Mwamunyange yupo upande wetu.. Ole waoo
Robo tatu ya jeshi liko nae.. Akifanyiwa baya pale gogoni wataipata
Umeandika jambo zito sana , CC - Chakaza .Waacheni warukeruke.. Unakikumbuka kilichotokea pale Ivory Coast?? Stay tuned
Siku hizi watu wamepungua kwenye mikutano ya ukawa.
Ila jf ina watu wenye midomo michafu jamani. Ptuuuùu
Haya mkuu .Siku hizi watu wamepungua kwenye mikutano ya ukawa.
Gentamycine na nape nawatakia maisha marefu ili mvune matunda ya midomo yenu. Mwenzenu ameshtuka ameanza kuuza sheli aruke ng'ambo, muda utasema na siku zitaongea
Jambo msilolijua ni usiku wa giza.
Ni hivi , UKAWA tumekubaliana , hatutahangaika na masikini wa fikra kama hawa vijana na wala hatutalipa kisasi , kazi tuliyonayo ni kukamilisha yale tuliyoahidi ndani ya ilani yetu kwa watanzania .Gentamycine na nape nawatakia maisha marefu ili mvune matunda ya midomo yenu. Mwenzenu ameshtuka ameanza kuuza sheli aruke ng'ambo, muda utasema na siku zitaongea
Ebu kuwa na adabu we mara zote comments zako ni hizo hizo, kuwa na hekima japo kidogo, hujafa hujaumbika!Hata Shetani Pia Yupo Upande Wenu Na Ndiyo Maana Kwa Laana Za Mwenyezi Mungu Mgombea Wenu Haishi Kutoa Haja Kubwa Majukwaani.
Nan kauza shel mkuu