Napatwa na wasiwasi hawa jamaa walianzaje sababu kama ni tamaa zimeanza kuja ghafla basi inaonekana huyu mwanamke anataka kuexceed expectations ambazo mumewe hana uwezo nazo. Jambo la msingi ambalo huyu jamaa anapaswa kufanya kwanza ni kukaa chini na kuongea nae kwanza sababu things will get worse and worse huku unajaribu kum-please mkeo at the same time unajiingiza kwenye matatizo ambayo yeye she even doesn't think of, cousin my take itabidi jamaa aongee nae na amuelezee hali halisi si ajabu huyu mwanamke akawa na wanawake wenzake ambao wanamshauri na kumwambia kuwa "Mwambie mumeo akufanyie hivi mbona fulani anafanyiwa hivi na mumewe bila kufikiria kipato cha mwenzako ni kiasi gani" Si unajua wanawake tena wakikutana.
The best Acid can do ni kumchomekea mshikaji wake kiaina, ili labda kama anaogopa kusema aweze kujiachia na kuongea...
He might go nuts before breaking the silence!
The best Acid can do ni kumchomekea mshikaji wake kiaina, ili labda kama anaogopa kusema aweze kujiachia na kuongea...
hizi ndoa zina mambo kweli kweli.
kwanza huyo rafiki yako aache ukimya, amkalishe chini mke wake na kuliongelea hili, maisha ni mipango huyo mwanamke anatakiwa kusemwa haswa, anaonyesha umimi umemzidi.
Acid kama ni rafiki yako mimi naona hata kama hayakuambia labda anaona so kaa nae kwa ukaribu na uongeenae kishkaji mshauri kitu naamini hawezi kukataa ushauri wako
kwannn aingilie mambo ya watu, asichomeke wala asichomoe, akae kimya mpaka ashirikishwe, anajuaje labda jamaa anampenda mke wake kiac kwamba lazima atimize matakwa yake?....ya ngoswe muachie ngoswe.
kwannn aingilie mambo ya watu, asichomeke wala asichomoe, akae kimya mpaka ashirikishwe, anajuaje labda jamaa anampenda mke wake kiac kwamba lazima atimize matakwa yake?....ya ngoswe muachie ngoswe.
Nadhani Acid anaona kwamba best ake anateseka....otherwise masuala ya mahusiano hayapaswi kuingiliwa....
Nadhani Acid anaona kwamba best ake anateseka....otherwise masuala ya mahusiano hayapaswi kuingiliwa....
hakunaga kuona mwenzio anateseka kwenye uhusiano wake, labda karidhika na huo uhusiano? mbaya zaidi Acid hajashirikihwa na frnd wake bali ni fikira zake mwenyewe, anajuaje jamaa ana hela ndefu kiac cha kufanya matakwa ya mume? Acid jamaa aliwaambia ana madeni mpaka anatamani kuhama nchi au nayo ni mawazo yenu binafc?
thansk Pearl... ukweli ni kwamba wote hatukuiona hiyo tabia before... ila kadri siku zinavyoenda tunaona kama mama anazidi aisee... juzi hapa mamsapu wangu akaniuliza hivi mbona ----- kama anabadilika? nikakosa jibu
sasa je mie nimuulize jamaa au niache tu mpaka jamaa avunje ukimya?
Nadhani Acid anaona kwamba best ake anateseka....otherwise masuala ya mahusiano hayapaswi kuingiliwa....
G.. jamaa hajaomba wala nini... ila ngonma imeshaanza kutuweka uncomfortable hasa tukiwa kwenye wikendi aiseesasa Acid umeombwa ushauri au wataka ingilia mapenzi ya watu?
agreed mkuu... sasa kasheshe inakuja mshkaji neiba na dawa rahisi ni kuingia mitini maana vikishaanza vijimambo ndio unakuta hata bia hainywekiHizi balaa za kimaisha aisee...ila ni ngumu kuingilia kama jamaa hajawambia rasmi....so i propose :tape:
G.. jamaa hajaomba wala nini... ila ngonma imeshaanza kutuweka uncomfortable hasa tukiwa kwenye wikendi aisee
maana utakuta hata vitu vidogo kama mikoba lazma alinganishe na vyake... ninachoogopa ni kwamba nimeshaanza kumavoid jamaa akiwa na mamsapu wake,which may not be fair
watu wanaojifunika shuka moja sio wa kuingiliwa kihivyo jamani, mke akimpa vizuri Acid ataonekana mchonganishi, mie sioni tabu kama mume anaridhika na kubadilisha vitu kila lisaa kwa ajili ya kumridhisha mke wake na bac aachwe amridhishe.
mkuu... ndoa ndoanokwani huyo mama anafanya kazi gani ana kipato gani kwa mwezi? ikiwa anao uwez wa kufanya hayo ayatakayo basi wacha afyanye abadilishe hata body yake mwenyewe. Na huyo rafikiyo mwambia awe kama MWANAUME asikubali kupelekeshwa kwa vitu visivyo na msingi waangalie hali halisi ya maisha yao na kipato chao wakiiga tembo kunya watapasuka msamba..... hao wanaoshindana na huyo shemejio kama wao ni wafanyabiashara maarufu wa DUBAI nae ata taka kuwaiga ili wafanane!!?