habari zenu wana jf naomben msaada pls kuna mtu ananitumia meseji nikimaliza kuzisoma zinapotea hata nikienda kuangalia inbox nakuta hakuna kitu na zinavyoingia kwenye sim yangu zinaonekana juu ya kioo kabla sijaanza kuisoma (nikama zile sms za airtel ukimaliza kumpigia mtu zinakuonyesha sekunde uliotumia). hyo mtu anatumia tigo mimi natumia airtel