Msada!!Msada plz elim hii ya kutumia computer nitaipata wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msada!!Msada plz elim hii ya kutumia computer nitaipata wapi?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by LEGE, Oct 21, 2011.

 1. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #1
  Oct 21, 2011
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  Kwanza natanguliza shukran zangu kwa wadau wote wa jf na hasa hili jukwaa.Siku zote nilikuwa ni msomaji mzuri wa forum hii ilinivutia mpaka na mim nikaamua nitumbukie mzimamzima.Wakuu mim ninatatizo moja kubwa xana ambalo nimehangaika nalo bila mafanikio na hapa nimeona ndiyo pana dawa na tiba ya tatizo langu.
  Kwan siku zote wanasema mficha maradhi kifo humuumbua/mficha uchi hazai??

  Labda ningeanza kuwapaka utangulizi mdogo tu ambao unaweza ukawa mwanga wa kunisaidia tatizo langu.Mim ni kijana 25yrs.Napenda sana ufundi electronics kwan tangu mdogo niliupenda sana na kutokana na upenzi huo nilipo maliza form 4 nilipenda zaidi kujiunga na tench na cy o-level.Bahati mbaya sikufanikiwa na nilipata c-3 ambazo ni chemia,physics na geograph. Na nikapata d-3 za mathe,biology na mangine nikapata f.
  Baada ya kushindwa kuendelea na ufundi cyo kwamba wazazi wangu walikuwa hawana uwezo wa kunisomesha la bali walikuwa wanataka niendelee na a-level private au ni risist au nifanye vyote kwa pa 1 lkn mm niligoma kwakuwa niliupenda ufundi.
  Nilikaa 1yrs nikitafuta mahali pakujifunza hasa nilipenda sana kujifunza juu ya ufundi wa electronics km kundengeneza redio,tv,dvd,phone,computer,receiver,etc lkn nilikusa kutokana wazazi wangu hawakuwa tayali kwa hilo.
  Kwa kuwa toka nipo std 5 nilikuwa natengeneza tengeneza umeme wa nyumban na kuna fund alikuwa ananifundisha kutengeneza pikipik nikajikuta nimeingia gereg na kujifunza ufund auto electrical.Kwa sasa nifund ambaye na vyeti vya veta grade 1 autoelectrical na electronics level 2.
  Shida yangu kubwa niwapi naweza kujifunza kutengeneza umeme wa magari kw kutumia computer?.Kwan magar meng xaxa hiv ni ya electronics.Kwa sasa sihitaji sana cheti kwa elim hiyo mi nashida ya kujifunza hata km kweny work shop ya mtu nipo tayali kwan lengo langu kubwa ni kujiajili na cyo kuajiliwa.Naomba msaada wenu kwan nilienda mpaka chang'ombe nikasoma lkn wanafundisha mfum wa magari ya zaman km land lover,kobe,iveco,fiat na wanadai fan hiyo hawafundish?
   
 2. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #2
  Oct 24, 2011
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  Wadau inamana hapa jamvini hakuna hata mtu 1 mwenye gari?? Au nduguye mwenye gari?? Au mtu yeyote anayejua hii fan inafundishwa wapi hapa tz?? Au naweza kujifunza kwa njia gan?? Inamaana kwa hapa tz wanaotengeneza magari kwa ku2mia computer wamejifunzia wapi? Au wamejifunzaje?? Naomba msaada wenu plz.
  Au hii koz tz haipo??.
  Au kama cwezi kujifunza direct ni fan gan nikisoma nitaweza kupata ujuzi huu??
   
 3. Ze burner

  Ze burner JF-Expert Member

  #3
  Oct 24, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 460
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  subiri tu watapita tu humu.
   
Loading...