fagix
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 739
- 554
Habari za muda huu na pole na majukumu ya kila siku ktk maisha
Awali ya yote nipende kulipongeza jukwaa hili kuwa msada mkubwa kwa watanzania katika maswala ya technology, mambo mengi yamejadiliwa na kutunufaisha na kutufungua kimawazo.
Leo wakuu naomba msaada/kufahamisha ni namna gani youtuber wanaweza kuunganisha channel moja ya youtube ambayo ipo livestreaming kwenda channel nyingine na kufanya channel zote mbili kupepelusha matangazo live
Mfano dar24 wanarusha matangazo ya bunge na mimi (mfano) nataka kuyarusha matangazo hayo hayo, nitawezaje kuyaunga yale matangazo kuto dar24 hadi youtube channel yangu.
Shukrani kwa wote watakao changia bila kujali ni mchango chanya au hasi.
Asante