Msaanda kufunga Kampuni (Limited Company)

kintu

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
541
133
Ndugu wana JF,mie na wenzangu tulipomaliza chuo tulikuwa na ndoto za kujiajiri ,yaani kuwa na kampuni yetu, ilituchukua kama miaka 2, tukafungua kampuni yetu tukiwa Directors 3, lakini baadhi yetu tulipata kazi na mwingine alieendelea kusimamia kampuni, ilikuwa ikikua na tukapata office, tuliajiri na msichana Office Admin and attendant.

Kwa miaka 3 ya mwanzo tulifanya vizuri na kazi tulikuwa tunapata .

Sasa Tatizo lilianza baada ya mwenzetu kupata kazi, usimamizi ukawa mdogo na pia kwenye members ile common vision imepotea na kila mtu ameipotezea.

Sasa mie nataka kujitoa kama Director na uko Brela wanitoe maana sasa hivi nikienda TRA wanasema TIN yangu inadaiwa na inatumika na jina la hiyo kampuni.

Naombeni mwongozo:-
1.Kuifunga kampuni kabisa na TRA wasiendelee kudai kodi .
2.Kujitoa mimi ma wengine waendelee kama wanataka.
 
Back
Top Bottom