DCONSCIOUS JF-Expert Member Joined Oct 4, 2010 Posts 1,269 Reaction score 473 Apr 8, 2012 #1 Kwa yoyote anaye jua ubora ua mapungufu ya Android 2.2 kunamtu anataka kuniuzia lakini sijui hata bei yake dukani na uzuri wake kiundani plz anae jua anisaidie kuijua vizuri nisije kuingia kichwa kichwa.
Kwa yoyote anaye jua ubora ua mapungufu ya Android 2.2 kunamtu anataka kuniuzia lakini sijui hata bei yake dukani na uzuri wake kiundani plz anae jua anisaidie kuijua vizuri nisije kuingia kichwa kichwa.