sio lazima beach mkuu waweza kwenda dinner sehemu kama doubletree by hilton masaki maana wao pale mahala kuna sehemu ya
kupumzikia ambayo wamejenga kuingia baharini ,
otherwise kiwanja kama Savvana club....
kama beach lazima basi baccard,sunrise,.........nyingine majina yamenitoka kidogo ila uki search in google tanzania beach utazipata mkuu sio kila kitu utume thread bana..........:teeth: