Msaada.....

Mkeshahoi

JF-Expert Member
Jan 4, 2009
2,469
281
Nimiileta huu nikiamini nitapata msaada ...

Nahitaji kujua Beach hotel nzuri na ambazo zina gharama nafuu na huduma nzuri... nina ugeni wa siku 5 toka nchi jirani wakati wa New Year eve..!!
msaada plz
 
sio lazima beach mkuu waweza kwenda dinner sehemu kama doubletree by hilton masaki maana wao pale mahala kuna sehemu ya
kupumzikia ambayo wamejenga kuingia baharini ,
otherwise kiwanja kama Savvana club....
kama beach lazima basi baccard,sunrise,.........nyingine majina yamenitoka kidogo ila uki search in google tanzania beach utazipata mkuu sio kila kitu utume thread bana..........:teeth:
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom