Msaada

Msaada

Coco J

Member
Joined
Apr 22, 2015
Posts
24
Reaction score
13
sina uhakika kama hapa ndiyo nilitakiwa nipost. mtanisamehe mi mgeni humu.

nitaweza vipi kumfahamu mtu anayetumia jina langu na details zangu nyingine katika account ya facebook? naomba mnisaidie.
 
Kwanza muombe urafiki na pia waambie marafiki zako kadhaa wamuombe urafiki ili uweze kumchunguza
 
Back
Top Bottom