Msaada

Msaada

Naomba kujua jinsi ya kubadili **USERNAME ** langu JF


Mtumie ujumbe mfupi "PM" Invisible ukiambatanisha na jina jipya unalotaka kutumia.

Pia jifunze jinsi yakusearch mada za humu JF, kuna maswali kama haya yameulizwa mara nyingi, hakukua na umuhimu wakufungua uzi mwingine.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom