The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,611
Tatizo lako ni kuwa 'you think you are very special'
hapo ndo penye tatizo
unatafuta mtu as if unataka kuajiri
unaweka vigezo na kutazama kama ana meet vigezo bila wewe kujiuliza kama
una fall in love na umeweza kumfanya mwenzio a fall na wewe....
mapenzi ni moyo....ukiona watu wanageuka vimeo kwako basi labda na wewe kimeo
hawaoni 'anything special'