Young Warlock
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 328
- 112
Habari zenu wa
Karibuni Jamani kwa michango yenu.
Karibuni Jamani kwa michango yenu.
Habari zenu wanaJF......
mm ni kijana....nnalolileta kwenu leo ni khs rafiki yangu....
ni rafiki yangu wa muda mrefu naeza kusema ka tumekua nae vile....ni mwanaume rijali kabisa sema kinachonishangaza ni kwamba anaamshwa zaidi au kuvutiwa kimapenzi na wanaume wenzake.....na cha ajabu zaidi si kusema anataka kuwala 0713*** or yy ndo aliwe.....hapana......yeye anavutiwa zaidi na romance na wanaume wenzake.....tena akiona wenye miili iliyojengeka vizuri(masculine) ndo anachanganyikiwa zaidi......madem pia anao, sema anao kwa ajili ya mazoea tu but hawamsisimui kama anavyofanya romance na wanaume wenzake.......yani hata akiona sexy man yupo naked ye nae anadindisha......
mwenzenu nimeshindwa kabisa kuielewa ii abnormality......
mwenye kujua lolote jamani kuhusu rafiki yangu uyu atoe mchango wake hapa, hata ushauri wa kumuepusha na iyo hali utasaidia coz yy hafurahishwi nayo but ndo ashakua ivo ss........
Karibuni Jamani kwa michango yenu......
acha kusingizia rafiki, sema ni wewe tu, tujue moja:ranger:
Hii habari haina uhalisia heading inasomeka 'msaada' lakini huku unakaribisha michango ya watu
nikuulize wewe, kuna tatizo ukisema ni wewe mpk ukasema ni rafiki yako?sa hata nkisema ni mm kwani kuna tatzo......
nikuulize wewe, kuna tatizo ukisema ni wewe mpk ukasema ni rafiki yako?
anyway
kabla ya kupost humu uishamshaur mwenzio juu ya mwenendo wake huo? maana ameanza na mdomo kesho yake atataka dudu au tigo
mpe pole mwambie ajitaid kuwa mwanaume, asijiendekeze na iyo tabia, ikishindikana akafanyiwe maombi labda ni pepo...dah.....nashindwa hata jinsi ya kuanza kumshauri cz sijui ja kuna watu wa aina ii or inakuaje ....n mara ya mwisho ameniambia akiwa kanyongonyea kbxaa......
ok.....yote sawa msaada....mchango nakaribisha
hayo ni mambo ya kuendekeza tu, mwambie ale kabang na ajiandae kwa madhara yake. Tafta post humu ilikuwa inaeleza madhara ya kula Go
sa hata nkisema ni mm kwani kuna tatzo......
dah.....nashindwa hata jinsi ya kuanza kumshauri cz sijui ja kuna watu wa aina ii or inakuaje ....n mara ya mwisho ameniambia akiwa kanyongonyea kbxaa......
cha kushangaza yeye anachukia sana kula or kuliwa Go.....anachovutiwa zaidi ni romance kutoka kwa wanaume
We ngoja cku akupge mashine usiku ukiwa umelala ndo utajua ni nini hiyo