Habari wadau. Naomba msaada kwa watalam wa simu,nina simu aina ya samsung galax GT-B5512, tatizo lake ni kuwa imekata internet na kila napo fanya setting za vpn inagoma kuconnect mara tu ya kuingiza user name na password inaandika check server name setting. wadau naomba msaada nifanyaje?