Msaada

Msaada

Raaj

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2013
Posts
205
Reaction score
29
Ndugu zangu wana Jf naomba msaada simu yangu ya android ilizima ghafla sasa ina waka inaonyesha logo ya android tu yaani hakuna software wala app inayoonekana je tatizo nini na je naweza kulitatua?
 
ingia recovery iformat, kuingia recovery zima simu kisha bonyeza cha kuwashia simu na volume up, kama ni samsung cha kuwashia simu, home na volume up.
 
Back
Top Bottom