Msaada

Msaada

Stanley Mitchell

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2014
Posts
4,574
Reaction score
4,075
Oya wadau habari zenu,
naombeni msaada basi wa kuchakachua king'amuzi cha StarTimes ili niweze kupata chaneli nyingi za bure, nitimize haki yangu ya kikatiba ya kupata habari.
Asanteni
 
kalipie upate huduma mkuu!!

Utakuwa umelipa na kodi pia!!
 
kalipie upate huduma mkuu!!

Utakuwa umelipa na kodi pia kwa maendeleoa ya nchi yetu!!
 
Back
Top Bottom