Msaada

buno25

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2011
Posts
239
Reaction score
238
Watu sijui wanahic mi ni spy.nisha wapm watu zaidi ya wa 3 kwa ajili ya kupata huduma ya guru internet lakini hakuna hata mmoja aliye hata kujibu.naomba mwenye kuweza kunisaidia pleas anipm au anambie ni mp pia akinipa no.za cm tukaongea itakuwa msaada zaidi wana jamvi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…