Msaada

twijuke

JF-Expert Member
Jul 7, 2011
548
500
Wapendwa wana janvi Happy new year, naomba msaada jinsi ya kupata hotuba ya Rais Kikwete youtube inayo husu bakabidhiano ya rasimu ya katiba ya pili. nilikuwa nje ya mtandao nisameheni kwa usumbufu na Mungu awabariki, mema yaambatane nanyi 2014.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom