Msaada

joo dos santos

New Member
Dec 16, 2013
2
0
Habari za mchana wadau, natumai Mungu anatenda. Nina ombi moja tu kwenu kaka zangu, dada zangu, mama zang na baba zangu naomba yeyote anayeweza nipa kazi ya kujitolea nimesomea mambo ya manunuzi na ugavi (procurement and supplies,, degree) nachotaka ni kua busy kama mtu ataniajiri Mungu ashukuriwe na abarikiwe sana ila mim ombi langu kwenu ni kuvolunteer tu, nataka kua busy tu. namba yangu ni 0654111423 niko dar es salaam na sichagui kazi na nina utaalamu wa masoko pia na uzoefu. Samahani kwa usumbufu na mungu awafanyie wepesi katika shughuli zenu,, popote tanzania nitakuja kushirikiana nanyi. 0654111423
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom