msaada

msaada

Torch

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2013
Posts
1,205
Reaction score
1,139
nikidownload nyimbo zilizokuwa uploaded Facebook. wakati wa kuplay inaandika "sorry the file can't pray".

natumia operamini, ucbrowser, fb app ya android na firefox.

Natumia SIMU
 
msaaada ndugu zangu
 
Check kama aina ya fail la wimbo linaweza kuchezwa na simu yako. mp3 inakubali simu zote lakini fail kama wma,aac, nk ni baadhi ya simu.
 
OK faili linasoma kama WMA.. mkuu CORAL nifanyaje ili kusolve the problem simu yangu ni huawei y300
 
Last edited by a moderator:

wma yanahitaji player zake specific. player inayokuja na android haiwez cheza hio format.

nenda playstore andika wma player zitakuja
 
Last edited by a moderator:
Check kama aina ya fail la wimbo linaweza kuchezwa na simu yako. mp3 inakubali simu zote lakini fail kama wma,aac, nk ni baadhi ya simu.

format kama ogg nayo pia huwa inazingua kuplay, aicheki nayo
 
Back
Top Bottom