msaada.

msaada.

tricecriss

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
225
Reaction score
59
Naomba mnijuze ni njia gani nzuri ya kuandika application letter.je kwa mkono au kwa kuchapa na vipi kama anaaply kwa kutumia email?
 
Njia ya kutumia mkono ni bora zaidi, hata hivyo inategemea na kazi kuwa inahitaji nini au au apply vipi,naweza kukushauri kuwa maombi ya kazi yanategemeana na maelezo ya kazi jinsi ya kuapply.
 
Naomba mnijuze ni njia gani nzuri ya kuandika application letter.je kwa mkono au kwa kuchapa na vipi kama anaaply kwa kutumia email?
  • Waajili wanaopendelea njia ya email target yao huwa ni CV yako na Certificate zako ambazo huwa ume_attach kwenye email. Hivyo kwenye email huwa kuna maelezo machache kukuhusu wewe.
 
Back
Top Bottom