msaada

msaada

Leembaswagger

Senior Member
Joined
Aug 1, 2012
Posts
100
Reaction score
35
Habari za mchana,naombeni mnisaidie kwa anaefaham utatuzi wa swala hili,nna blackberry curve 2 (blackberry 9300) ambayo nimeinunua kwa mtu,tatizo nikitaka kudownload applications huwa inarequire I'd na password ambazo mimi czifaham na aliyeniuzia nae hazijui
 
Nenda kwenye menu key, then options then blackberry Id. Fanya hivi ukiwa online utapata vyote. Lakini hiyo simu kama ni ya wizi waweza kukamatwa na mwenyewe kwani Id ya bb huonekana ukitumia huduma kama bbm.
 
Back
Top Bottom