msaada

natafuta simu inayosuport window 7 ni sim gan?

Hamna simu inayosuport windows 7. Ila ipo simu inayo suport windows phone 7, 7.5 na karibuni 7.8

Zipo lumia 900, lumia 800, lumia 710, lumia 610 (zote nokia) samsung omnia 7 na htc radar

ila sasa kuna wp8 simu zinazotumia windows phone 8 ambazo ni za kisasa kuliko wp7 ambazo ni lumia 920 na 820 (nokia) samsung ativ na htc 8x
 
Oya mkuu muhimili, tafadhali acha news iwe news, na acha msaada uwe msaada. Unachanganya (laghai) watu aisee.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom