Msaada

Wakwetu03

Senior Member
Sep 15, 2010
190
81
Wanajamvi naombeni msaada wa jinsi ya kuandika barua ya kuomba mkopo wa biashara benki wa marejesho ya muda usiopungua miaka minne.
Kuna benk nilienda wakaniambia nipeleke business plan yangu nikapeleka wakaikubali then wakaniambia niandike barua ya maombi.
Nimemaliza elimu yangu ya chuo mwaka juzi nikaamua kujiingiza kwenye ujasiliamari mdogomdogo ambao baadae nikaamua kufanya project kubwa kidogo ambayo inanigharimu kama 155mil na nimeshawekeza kama 90mil na nina 15mil mkononi.Nahitaji kama 40mil ili project yangu iweze kukamilika.Huu mradi ukikamilika utaajiri vijana wasiopungua 15.

Naamin humu jamvini mtanisaidia jinsi ya kuifrem hiyo barua.-Contents zake
Natanguliza shukrani zangu kwa msaada wenu
 
Back
Top Bottom