FHI/Tanzania
Street Address:
FHI
Ali bin Said Street
Plot 1270, Oysterbay (behind Karibu hotel)Mailing Address:
PO Box 78082
Dar es Salaam, TanzaniaTelephone:
255 0 22 266 7815Fax:
255 22 260 7819
FHI 360
CARE Tanzania
P.O.BOX 10242
Dar es Salaam
Save the Children
Foundation For Civil Society
The Foundation for Civil Society | Tanzania
Tanzania Association of NGO's - TANGO
Off Shekilango Road Sinza Afrika Sana
P.O.BOX 31147 Dar es Salaam
+255 22 277 4582
Hope this helps.....If i get more i will add, most of the NGO's in Tanzania hawana addresses wala websites sometimes inabidi uende physically pale pale ili uweze kuonana na contact person
Hadija Mwanamboka ana kituo cha kulea yatima Kinondoni na huwa anahitaji volunteers(nitakuwekea contacts hapa hivi punde), na pia kuna yatima Uporoto ambaye atashukuru kupata malezi mazuri wa muda huo mfupi.
Uporoto hii ya Mwanamboka ndio ile inaitwa Tanzania Mitindo House nafikiri Lizzy anaweza kucheki na website yao Tanzania Mitindo House - TMH wana center mbili za watoto MAGOMENI na KIGAMBONIHadija Mwanamboka ana kituo cha kulea yatima Kinondoni na huwa anahitaji volunteers(nitakuwekea contacts hapa hivi punde), na pia kuna yatima Uporoto ambaye atashukuru kupata malezi mazuri wa muda huo mfupi.
Naona Finest kado ze nidful hapa chini, na hiyo nyingine ni www.yatimauporoto.co.tzHahahha...
Nirushie hizo contacts kwanza alafu ntakufikiria!!!
Asante mkuu.Uporoto hii ya Mwanamboka ndio ile inaitwa Tanzania Mitindo House nafikiri Lizzy anaweza kucheki na website yao Tanzania Mitindo House - TMH wana center mbili za watoto MAGOMENI na KIGAMBONI
Dah!! Kamanda nilikuwa sijui kama na wewe huwa unadeka aiseee nina kituo cha kulea watu wakubwa kama weweHadija Mwanamboka ana kituo cha kulea yatima Kinondoni na huwa anahitaji volunteers(nitakuwekea contacts hapa hivi punde), na pia kuna yatima Uporoto ambaye atashukuru kupata malezi mazuri wa muda huo mfupi.
Uporoto hii ya Mwanamboka ndio ile inaitwa Tanzania Mitindo House nafikiri Lizzy anaweza kucheki na website yao Tanzania Mitindo House - TMH wana center mbili za watoto MAGOMENI na KIGAMBONI
Hongera sana dada kwa kuwa na moyo wa kujitolea. Tumezoea wazungu kuja Tanzania kufanya shughuli za kijamii kwa kujitole, wakati sisi tupo.
Nakutakia kila la kheri ktk kazi zako, mungu akujaalie maisha mema.
Hey guys...
I hope y'all are doing great!!
Neway nahitaji msaada wenu kidogo...
Ntakua Dar katikati ya Dec - katikati ya Jan na nnahitaji sehemu ambayo naweza kufanya kazi... VOLUNTARILY.
Not just any place though...nataka sehemu inayojihusisha na maswala ya kijamii..NGO, Sehemu ya kulelea watoto yatima n.k.
So nnachohitaji toka kwako wewe ni recomendation ya sehemu, majina, na contact za watu wanaohusika nazo if possible. Will highly appreciate anything you throw my way...thanks in advance!!
Ohhh na nimeweka hapa kwasababu wanajamii ndo nyie ...na nna uhakika hapa MMU mpo watu mnaojihusisha na maswala ya kijamii!!
Thanks again....