Msaada

Ilambo

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2012
Posts
475
Reaction score
90
Hbr wana jf,naomba msaada kwa MTU mwenye mawasiliano ya TCU anipe no ht km nj ya MTU binafsi k.v mfanya kaz was hapo,napiga cm za mezan hazipojelewi,nataka wanitoe kwenye mfumo wao ili niombe upya,
 
hiyo issue ya kwenda ofisini mdogo wangu tena ujaze na fomu upate na barua kutoka chuo ulichokuwa umeandikishwa, usichukulie poa wao hawamtoi mtu kirahisi kwenye system kama wew unavyodhania.
 
Hivyo vyote nishapeleka lkn nashasngaa kimya mpka saiv toka the 5 July
 
kwahiyo umejaribu kufanya udahili wamekwambia bado unaonekana unasoma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…