mkal8 Member Joined Aug 25, 2017 Posts 45 Reaction score 35 Jun 19, 2019 #1 Wakuu za mida, naomba mwenye kujua app inayoweza kutunza taarifa zote za simu zinazofutwa kwa mfano sms, call history, video na audio, Naomba anisaidia hiyo app.
Wakuu za mida, naomba mwenye kujua app inayoweza kutunza taarifa zote za simu zinazofutwa kwa mfano sms, call history, video na audio, Naomba anisaidia hiyo app.
Bujoro JF-Expert Member Joined Jan 30, 2018 Posts 3,143 Reaction score 2,278 Jun 21, 2019 #2 Wanakuja mkuu wait a moment