sweetlee JF-Expert Member Joined Feb 13, 2015 Posts 4,050 Reaction score 14,770 Dec 17, 2018 #1 Wakuu simu yangu kila nikidownload App nikitaka kunitumia inaniambia ni allow storage permission nikienda setting kuallow inanigomea kama hivyo. Naombeni ushauri.
Wakuu simu yangu kila nikidownload App nikitaka kunitumia inaniambia ni allow storage permission nikienda setting kuallow inanigomea kama hivyo. Naombeni ushauri.
donlucchese JF-Expert Member Joined Mar 23, 2011 Posts 17,258 Reaction score 22,140 Dec 17, 2018 #2 Mbona easy mkuu, turn screen overlay off kwa hiyo app
sweetlee JF-Expert Member Joined Feb 13, 2015 Posts 4,050 Reaction score 14,770 Dec 17, 2018 Thread starter #3 donlucchese said: Mbona easy mkuu, turn screen overlay off kwa hiyo app Click to expand... Namna ya ku turn off ndio sifahamu nimeshahangaika sana. Naomba maelekezo
donlucchese said: Mbona easy mkuu, turn screen overlay off kwa hiyo app Click to expand... Namna ya ku turn off ndio sifahamu nimeshahangaika sana. Naomba maelekezo
donlucchese JF-Expert Member Joined Mar 23, 2011 Posts 17,258 Reaction score 22,140 Dec 18, 2018 #4 sweetlee said: Namna ya ku turn off ndio sifahamu nimeshahangaika sana. Naomba maelekezo Click to expand... Nenda kwenye hiyo app unayotaka kutumia then ingia kwenye settings zake (permission settings) hapo lazima utakutana na option ya screen overlay then unaiturn off
sweetlee said: Namna ya ku turn off ndio sifahamu nimeshahangaika sana. Naomba maelekezo Click to expand... Nenda kwenye hiyo app unayotaka kutumia then ingia kwenye settings zake (permission settings) hapo lazima utakutana na option ya screen overlay then unaiturn off