king can janja
Member
- Feb 14, 2018
- 21
- 1
Mi nina mke tuna miezi 2,tatizo ninapojaribu ili ajihisi hisia inashindikana,anaona kama unamtekenya popote unapogusa.na pia tukiwa kwenye game nachelewa kukojoa hivyo anachoka.tatizo ni nini
Hahaha aseetatizo unachelewa kukojoa kunywa maji mengi