C chibi JF-Expert Member Joined Mar 21, 2013 Posts 240 Reaction score 65 Oct 4, 2018 #1 Habar zenu wakuu Naomba msaada hivi karibuni nimenunua Home theatre ya mtumba aina ya LG sema nimekosa waya wa fm antenna wapi naweza kupata nimejaribu kwa mafundi nimekosa...nipo DSm
Habar zenu wakuu Naomba msaada hivi karibuni nimenunua Home theatre ya mtumba aina ya LG sema nimekosa waya wa fm antenna wapi naweza kupata nimejaribu kwa mafundi nimekosa...nipo DSm
Abuu Said JF-Expert Member Joined Jul 5, 2015 Posts 4,009 Reaction score 4,776 Oct 5, 2018 #2 Tafuta waya wowote unganisha sidhani km kuna waya maalum