moses elius
Member
- Aug 4, 2018
- 8
- 0
Hiki kifaa nn maana ya $1000...me sielewi kabisa...!!!
Ni 2,200,000 million mkuu.. Ndo bei ya kifaa hikiHebu funguka mkuu ila hiyo $1000 ni sawa na dollar 1000 ukitaka kuiangalia kwa tsh itakuwa ni shilingi ngapi nenda google andika dollar 1000 to tsh