prince dudu
Senior Member
- May 24, 2015
- 109
- 77
Habarini wana jf me Leo kimenikuta kizaa zaa kwenye group moja hivi la whatsapp nimeshindwa kum leftisha admin mwenzangu wakati Maa admin wengine nimeweza ila huyo alio ni add mm na kunip uadmin imekua tofauti na hata yeye anashindwa ku left.