Ras wakambo
Member
- Nov 22, 2011
- 71
- 6
jamani naomba mwenye ujuzi anisaidie, nina dish la dstv nataka nilitumie pamoja na receiver ya mediacom...nifanyaje kupata mawasiliano?
NATAKA NIPATE CHANNEL ZA NDANI NA KAMA NIKIWEZA NIPATE ZAIDI ZILIZO FREE TO AIRUnataka kupata chanel zipi?
Kwa mediacom hapanaNATAKA NIPATE CHANNEL ZA NDANI NA KAMA NIKIWEZA NIPATE ZAIDI ZILIZO FREE TO AIR
zipo mediacom za mpeg4 angetaja model ya hiyo receiver ingekuwa vizuri zaidi.Kwa mediacom hapana
Mpaka uwe na mpge 4 receiver apo waweza pata
MEDIACOM MFT 930 PLUS MPEG2zipo mediacom za mpeg4 angetaja model ya hiyo receiver ingekuwa vizuri zaidi.
angalia hii satelite ina chanells nyingi za tanzania na zinapatikana kwa ku piaMEDIACOM MFT 930 PLUS MPEG2
NI LA SIZE KAMA LA AZAMangalia hii satelite ina chanells nyingi za tanzania na zinapatikana kwa ku pia
Intelsat 906 at 64.2°E - LyngSat
dish lako ni dogo kabisa au ni yale size ya kati?
yale madogo yapo ukubwa utofauti kuna vidogo kabisa sijui sentimita 60 zile na kuna mengine sio madogo sana kama mita 1 hivi.NI LA SIZE KAMA LA AZAM
LA KWANGU KAMA SENTIMITA 90 HIVIyale madogo yapo ukubwa utofauti kuna vidogo kabisa sijui sentimita 60 zile na kuna mengine sio madogo sana kama mita 1 hivi.
linaweza kushika japo sina uhakika asilimia 100. tafuta fundi jirani au wewe mwenyewe kama una nafasi lielekezee huo upande ujaribu kusearch.LA KWANGU KAMA SENTIMITA 90 HIVI
ASANTE SANA NDUGU CHIEF MKWAWA, NI CHANEL GANI NAEZA PATA HAPO ...NITAIFANYA KAZI HIYO MWENYEWE THEN NITARUDI HAPA....PIA HII RECEIVER INA SEHEMU YA ANTENA VIPI UNAJUA NINI KUHUSU ANTENA ILI NIKISHINDWA KWA DISHI NIRUDI KWENYE ANTENAlinaweza kushika japo sina uhakika asilimia 100. tafuta fundi jirani au wewe mwenyewe kama una nafasi lielekezee huo upande ujaribu kusearch.
antena inategemea na technology zilizomo humo ndani, kibongo bongo receiver ikiwa na DVB-T (terrestrial) unapata baadhi ya chanell bure, ila kwa ufahamu wangu hio receiver haina hio option.ASANTE SANA NDUGU CHIEF MKWAWA, NI CHANEL GANI NAEZA PATA HAPO ...NITAIFANYA KAZI HIYO MWENYEWE THEN NITARUDI HAPA....PIA HII RECEIVER INA SEHEMU YA ANTENA VIPI UNAJUA NINI KUHUSU ANTENA ILI NIKISHINDWA KWA DISHI NIRUDI KWENYE ANTENA
SORRY CHIEF MKWAWA VIPI KUHUSU USB PORT KWENYE DECODER YA DSTV NA ILE ETHERNET PORT?ZINA MATUMIZI GANI?antena inategemea na technology zilizomo humo ndani, kibongo bongo receiver ikiwa na DVB-T (terrestrial) unapata baadhi ya chanell bure, ila kwa ufahamu wangu hio receiver haina hio option.
kuhusu chanell ukiclik hio link utaziona. zipo ITV, EATV, Capital, Start TV, Chanell 10, Agape, TV msumbiji, UBC ya uganda etc
1. usb port hutumika kwa feature ya pvr (personal video recorder), hii unaweza ukarecord movie, michezo na vipindi mbalimbali na kuja kuviplay baadae, utahitajika kuchomeka kifaa cha storage kama flash au external hard disk. pia unaweza ukaset ijirekodi yenyewe. mfano upo kazini na kuna kipindi kinaoneshwa saa 6 mchana unaweza ukaset kikajirekodi ukirudi jioni unakiangalia. pia kuna feature ya kurudisha nyuma unaweza ukaieka kama una storage ya kutosha.SORRY CHIEF MKWAWA VIPI KUHUSU USB PORT KWENYE DECODER YA DSTV NA ILE ETHERNET PORT?ZINA MATUMIZI GANI?
NMEKUELEWA CHIEF MKWAWA1. usb port hutumika kwa feature ya pvr (personal video recorder), hii unaweza ukarecord movie, michezo na vipindi mbalimbali na kuja kuviplay baadae, utahitajika kuchomeka kifaa cha storage kama flash au external hard disk. pia unaweza ukaset ijirekodi yenyewe. mfano upo kazini na kuna kipindi kinaoneshwa saa 6 mchana unaweza ukaset kikajirekodi ukirudi jioni unakiangalia. pia kuna feature ya kurudisha nyuma unaweza ukaieka kama una storage ya kutosha.
2. ethernet ni kwa ajili ya kuipa decoder yako uwezo wa kuingia internet, dstv wanakodisha/kuuza movies/series na entertainment mbalimbali, hivyo ukiwa na internet utaweza kustream
nenda kwenye menu>installation>manual search then chagua sattellite ulioambiwaunaiingiza vepe hyo satelite mkuu