Msaada PC yangu haiwaki

tunage

JF-Expert Member
Dec 8, 2015
252
168
Habari wakuu,kama kichwa kinavojieleza,Pc yangu HP hiyo pichani haiwaki,tatizo lilianza niliiacha kwenye ikiwa ON huku nimechomeka adapter (betri haukuwepo) na niliporud badae imezima na nikiwasha KAMWANGA KWA KWENYE POWER kanawaka kwa mbali lakin haifanyi chochote...Msaada pliz
8ebe52545ec84653f43a330e79ab285f.jpg
d02c7a3a68ea4180e7d7a2c608cb348a.jpg
 
Hilo lita kuwa tatizo la hardware, mpaka fundi aiangalie kwa umakini wa Hali ya juu. Kama upo Dar mtafute huyu 0714003752
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom