F Finder JF-Expert Member Dec 7, 2016 375 423 Feb 22, 2017 #1 Habar zenu wakuu Naomba kuelimishwa juu ya jambo hili ; ya kwamba mtu mwenye vidonda vya tumbo haruhusiwi kutumia dagaa?? Wataalamu nisaidien kwa hili
Habar zenu wakuu Naomba kuelimishwa juu ya jambo hili ; ya kwamba mtu mwenye vidonda vya tumbo haruhusiwi kutumia dagaa?? Wataalamu nisaidien kwa hili
Mulhat Mpunga JF-Expert Member Oct 28, 2010 27,256 16,306 Feb 22, 2017 #3 ngoja madoctor waje? wapo wazuri tu humu