herman kajiru
Member
- Jan 21, 2017
- 72
- 52
Salaam Wakuu.
Naomba kujuzwa namna ya ku-edit profile.
Natanguliza shukrani kwenu.
Naomba kujuzwa namna ya ku-edit profile.
Natanguliza shukrani kwenu.
Kuna details ningependa kubadili kwenye profile maana siku nafungua nilipata challenge kujiunga hivyo vingine niliandika kama kujaribu.Unataka urekebishe kitu gani?
Nimeshafanya hivyo lakini bado Mkuu.Hapa hapa ukiwa unasoma hii post hapo juu kuna ka mtu bonyeza kisha tafuta settings
Vyote unaweza kubadilisha kasoro Username na Heading ya PostKuna details ningependa kubadili kwenye profile maana siku nafungua nilipata challenge kujiunga hivyo vingine niliandika kama kujaribu.
Okay! Ngoja nione nipambane kubadili vinavyoweza kubadikika.Vyote unaweza kubadilisha kasoro Username na Heading ya Post