Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,308
- 88,482
Hello Jf
Nina mtoto ana miezi miwili, siku ya leo amenisumbua mno. Anakua kama kuna kitu kinamkera sababu halii ila anajikuna kichwani na kukunja sura nikichelewa kumshika analia japo sio kwa sauti.
Toka nimejifungua sijawahi kumkata nywele na huwa akilia anashika kichwa anavuta nywele. Je inaweza kuwa sababu ni nywele zinamuwasha? Nimepanic sana sababu analala.kidogo anaamka anajikuna kichwa tu.