Msaada : Yupi ni gentleman kati ya wanaume hawa watatu?

Sasa sisi tunaokutana na wanawake tofauti kila siku kwa style hiyo utakuwa na namba za wangapi?

Mimi nadhani kukutana na mwanamke kikazi au biashara hakuna hadithi na feeling za mapenzi tuache kuendekeza bongo lala kuwaza uzinzi tu, ndio maana miafrika hamuaminiki hata na marafiki zenu kuwaachia wake zao mtoke nao out kama rafikiyo siku hiyo hajisikii kutoka kwa sababu ya hizi stupidity mindset.
 
Mkuu labda tuwekane sawa kdg

U-gentleman ni dhana pana sana

Iko kwenye maeneo mengi hadi kutembea

Social interaction pia ni category mojawapo, na hii inajumuisha mambo kama haya ya kuombana mawasiliano, whether email address, physical address au hata no ya simu

Nitarudi tena...

how many women are you going to meet in this world my friend that you are going to take contacts from you? and for what?

a gentle man, is a good man, being a good man, you will attract millions of women..!

imagine, where will you keep one million of phone numbers and mail addresses?

kuwa gentleman, sometimes involves big NO's.........
 
Sasa sisi tunaokutana na wanawake tofauti kila siku kwa style hiyo utakuwa na namba za wangapi?

Mimi nadhani kukutana na mwanamke kikazi au biashara hakuna hadithi na feeling za mapenzi tuache kuendekeza bongo lala kuwaza uzinzi tu, ndio maana miafrika hamuaminiki hata na marafiki zenu kuwaachia wake zao mtoke nao out kama rafikiyo siku hiyo hajisikii kutoka kwa sababu ya hizi stupidity mindset.

Mm nadhani wkt mwingine wabongo tunafeli mitihani kwasababu hii, sio kwamba hatuna akili.

Uzi haujaeleza kama jamaa aliyemeet na huyu manzi anataka kudate nae au la, lkn jitu linakurupuka linaanza kuwaza uzinzi.

Kumbe ndio maana ROMA akaimba, "usifakamie ukadhani maziwa zingine zanzi".
 
Hata kuomba number ni kigezo cha ugentleman? kama mpaka mnaishia sehemu ambayo haipelekei umuombe mtu number ya simu, unamuombaje sasa?
 
Wamekutana ghafla mkuu....

sawa, pamoja na kuongea naye mambo mengi, mimi kama gentleman nitachukulia ni maongezi ya kawaida tu, sihitaji nichukue contacts zake, nitachukua contacts endapo nitapenda niendeleze urafiki naye kwa kuwa nimevutiwa na maongezi yetu na pengine (kwa maongezi hayo) nimemwona ni mshauri mzuri au ana-company nzuri.

Kwa kifupi, naweza kusema gentleman anaweza kufanya chochote kile, it depends on the reason. 'reason' ndiyo itathibitisha u-gentleman wake kwa sababu kama ni uchukuaji wa contact mwanaume yeyote anaweza fanya hivyo lakini 'reason' ndiyo itamtambulisha aliye-gentle na asiye-gentle.
 
Mkuu umetisha sanaaa!!!

Aisee sinabudi kukufuata inbox.
 
how many women are you going to meet in this world my friend that you are going to take contacts from you? and for what?

a gentle man, is a good man, being a good man, you will attract millions of women..!

imagine, where will you keep one million of phone numbers and mail addresses?

kuwa gentleman, sometimes involves big NO's.........

Mkuu kwani what is your prime reason ya kuomba no from an opposite sex?
 
Kuna huyu wa kwanza:

Akikutana na binti kwa mara ya kwanza baada ya kufahamiana nae anamuomba binti no ya simu ili ampigie....AU

Huyu wa pili:

Anayekutana na binti kwa mara ya kwanza na mara baada ya kufahamiana nae anampa binti no yake ya simu ili binti ampigie? AU

Huyu wa tatu:

Anayekutana na binti kwa mara ya kwanza na mara baada ya kufahamiana nae anasubiri binti ndio amuombe no yake ya simu na ikitokea hajamuomba anajikataa?

KARIBUNI.......

Wa maana ni yule anayeambatanisha na hela ya soda.........
 
Back
Top Bottom