Msaada : Yupi ni gentleman kati ya wanaume hawa watatu?

Msaada : Yupi ni gentleman kati ya wanaume hawa watatu?

sawa, pamoja na kuongea naye mambo mengi, mimi kama gentleman nitachukulia ni maongezi ya kawaida tu, sihitaji nichukue contacts zake, nitachukua contacts endapo nitapenda niendeleze urafiki naye kwa kuwa nimevutiwa na maongezi yetu na pengine (kwa maongezi hayo) nimemwona ni mshauri mzuri au ana-company nzuri.

Kwa kifupi, naweza kusema gentleman anaweza kufanya chochote kile, it depends on the reason. 'reason' ndiyo itathibitisha u-gentleman wake kwa sababu kama ni uchukuaji wa contact mwanaume yeyote anaweza fanya hivyo lakini 'reason' ndiyo itamtambulisha aliye-gentle na asiye-gentle.

bravo!
 
Huwez Kuitwa Gentleman Et Kwa Sababu Umekutana Na Mwanamke Kwa Mara Ya Kwanza Na Kumuomba Namba Au Akakupa Namba.Hebu Angalie Kwenye Dictionary Zenu Mtajua Maana Halis Ya GENTLEMAN weng weng hampo serious ndo Maana Anae Uliza Na Anaejibu Wote Ni WAKURUPUKAJI. Weyeee.....et gent kuomba namba na kupewa du elimu MABADILIKO ya mitaala yatenda na kila ktu
 
Zis dunia ukitaka cha uvunguni sharti uiname gentleman hapo unaomba macontact no 1
 
Kuna huyu wa kwanza:

Akikutana na binti kwa mara ya kwanza baada ya kufahamiana nae anamuomba binti no ya simu ili ampigie....AU

Huyu wa pili:

Anayekutana na binti kwa mara ya kwanza na mara baada ya kufahamiana nae anampa binti no yake ya simu ili binti ampigie? AU

Huyu wa tatu:

Anayekutana na binti kwa mara ya kwanza na mara baada ya kufahamiana nae anasubiri binti ndio amuombe no yake ya simu na ikitokea hajamuomba anajikataa?

KARIBUNI.......


nadhani kuna umuhimu wa kudefine nini maana ya gentleman, ili wote twende sawa...

kisha tujiulize kwa mfano huu ulioutoa ugentleman unahusika?
 
Huwez Kuitwa Gentleman Et Kwa Sababu Umekutana Na Mwanamke Kwa Mara Ya Kwanza Na Kumuomba Namba Au Akakupa Namba.Hebu Angalie Kwenye Dictionary Zenu Mtajua Maana Halis Ya GENTLEMAN weng weng hampo serious ndo Maana Anae Uliza Na Anaejibu Wote Ni WAKURUPUKAJI. Weyeee.....et gent kuomba namba na kupewa du elimu MABADILIKO ya mitaala yatenda na kila ktu

He who knows not, that he knows not, is a fool.
 
Back
Top Bottom