Amicus Curiae
JF-Expert Member
- Sep 12, 2012
- 5,352
- 7,668
- Thread starter
- #21
wa kwanza...
Kwanini wa kwanza badiebey?
wa kwanza...
sijaona gentleman hapo
Gentleman hatofanya lolote kati ya hayo.
duh! wa kwanza
Wa pili aisee....
Kwanini wa kwanza badiebey?
wote viazi kabisa!je dem akikupa plate number?au unamchek mpesa palepale na anakutajia jina then u prove!
kafanya the traditional way ya mwanaume taking the lead....mwanamke ganii asiependa mwanaume km huyo
wote viazi kabisa!je dem akikupa plate number?au unamchek mpesa palepale na anakutajia jina then u prove!
kuwa gentleman haina uhusiano wowote na kuchukua namba ya simu ya mwanamke ama kutochukua namba...
namba ya simu ni kwa ajili ya mawasiliano whether important or less important..
what if walikutana incidentally na hawategemei kukutana tena wala kusaidiana tena? why ujaze phonebook?
mtu gentleman ni yule ambaye yuko polite ama formal katika shughuli zake na mambo yake mbali mbali...
Excel.
ahahahahaha sio wote simu wamesajilia majina halisi
kama mimi jina lililoko mpesa ni la kilugha na jina la vyeti sio ninalotumia fb
Hakuna gentleman hata mmoja kati ya hao ulioleta tuchague....gentleman ni yule anayemla uroda sikuhiyohiyo waliyoonana na baada ya hapo anamwagilia mbali...chapter opened and closed after a one night stand.
Ni hayo tuu
kuwa gentleman haina uhusiano wowote na kuchukua namba ya simu ya mwanamke ama kutochukua namba...
namba ya simu ni kwa ajili ya mawasiliano whether important or less important..
what if walikutana incidentally na hawategemei kukutana tena wala kusaidiana tena? why ujaze phonebook?
mtu gentleman ni yule ambaye yuko polite ama formal katika shughuli zake na mambo yake mbali mbali...
Excel.
Hi mupendhi,
sijakutia machoni.