Msaada.youtube No response,try again.

GABOO

Senior Member
Apr 11, 2011
118
12
Hii inakuaje? nikiweka line ya airtel then nikiopen youtube inaniandikia no response,try again.ila nikiweka line ya voda ina open vizuri,natumia nokia c2-01
 
ok!kuna sehemu mtandao wa airtel huwa hauna uwezo mkubwa kwa wale wanaotumia wireless application protocal,na huwa inakuwa na response moja ambayo huwa inategemeana na wale wanaotumia gms na nyingine...
 
Hii inakuaje? nikiweka line ya airtel then nikiopen youtube inaniandikia no response,try again.ila nikiweka line ya voda ina open vizuri,natumia nokia c2-01

its true...mi mwenyewe nimekua nikipata shida kustream videos toka youtube..hazipakii kabisa..cjui ni manini
 
zasaiz kwanza, habari zenu bana. Ishu ya airtel kufel kusaport you tube, ni tatizo la configaration zao hawajawa up to date ktk you tube kupitia streaming setting.
 
Da! Kumbe ndo sababu nilikuwa nashangaa kwa nini BB yangu haiplay YOUTUBE, niko AIRTEL
 
Back
Top Bottom