msaada ya Ms word

Joined
Dec 13, 2011
Posts
34
Reaction score
1
Jamani naomba kusaidiwa kuandaa front page amabayo iwe kama mitihani ya Necta iwe na necta necta necta nyingi . Nifanyaje
 
Nadhani unataka kuweka kitu kinaitwa "Watermark".

Anzia hapa kwenye hii tovuti unaweza ku google pia.Ukikwama fafanua usaidiwe au tafuta mtaalam wa Internet cafe wape mshiko watakufanyia fasta .

Otherwise fafanua vizuri tatizo usomeke
 

Mitihani ya Necta kama ushawahi kuiona ile front page yake ina watermark ya neno necta tena ni nyingi nyingi so mataka kuanda kama hiyooooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…