msaada ya Ms word | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada ya Ms word

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Nassor Mwanaharakati, Dec 14, 2011.

 1. N

  Nassor Mwanaharakati Member

  #1
  Dec 14, 2011
  Joined: Dec 13, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani naomba kusaidiwa kuandaa front page amabayo iwe kama mitihani ya Necta iwe na necta necta necta nyingi . Nifanyaje
   
 2. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #2
  Dec 14, 2011
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Necta ndio nini?
   
 3. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #3
  Dec 14, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Nadhani unataka kuweka kitu kinaitwa "Watermark".

  Anzia hapa kwenye hii tovuti unaweza ku google pia.Ukikwama fafanua usaidiwe au tafuta mtaalam wa Internet cafe wape mshiko watakufanyia fasta .

  Otherwise fafanua vizuri tatizo usomeke
   
 4. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #4
  Dec 14, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Lengo lako ni nini? Sema usahidiwe.
   
 5. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #5
  Dec 14, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  una photo shop...???
   
 6. N

  Nassor Mwanaharakati Member

  #6
  Dec 14, 2011
  Joined: Dec 13, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nilikuwa nataka kuanda front page amabayo itakuwa na watermark kama ukiangalia mutihani ya NEcta ina front page ambayo ina maneno necta mengiiiiiiiiiiii so naomba msaada
   
 7. N

  Nassor Mwanaharakati Member

  #7
  Dec 14, 2011
  Joined: Dec 13, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mitihani ya Necta kama ushawahi kuiona ile front page yake ina watermark ya neno necta tena ni nyingi nyingi so mataka kuanda kama hiyooooo
   
Loading...