Heri ya Pasaka wanajamvi!
Bila shaka mu wazima kabisa. Mwana jamvi mwenzenu nimebahatika kuitwa kwenye Written assessment (Test) ya hii Charity Organization inaitwa VSO katika na Nafasi ya Project Manager, mapema wiki ijayo.
Kwa yeyote kwenye ABCs au clue yeyote kuhusiana na hawa jamaa na assessment zao tafadhali achangie angalizo lolote au msaada wowote wa mawazo achangie hapa au hata kwa kuPM. Nitashukuru sana.
Heri ya Pasaka Ndugu Zangu
Mkalimi