msaada- 'Windows could not start...' | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada- 'Windows could not start...'

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by BabaDesi, Jun 26, 2009.

 1. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #1
  Jun 26, 2009
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,795
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Naombeni msaada! Computer yangu Dell Optilex GX620 imekataa kuwaka na kwenye screen ambayo blank na nyeusi kuna message inayosema 'Windows could not open the following file is missing or corrupt: {Windows root}\system32\hal.dll. Please re-install a copy of the above file. Tatizo sijui pa kupata the said file wala cd yoyote! Nifanyeje niweze kuendelea na kazi?
   
 2. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #2
  Jun 26, 2009
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Nenda HAPA , kisha scroll hadi katikati, kuna maelezo kutoka Microsoft ya sababu na namna ya kutatua tatizo hilo. Gud luck!
   
 3. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #3
  Jun 26, 2009
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Also jaribu System restore.
  Bonyeza F8 kabla Logo ya windows haijatokea, changua safe mode, run system restore.
   
 4. SnEafer

  SnEafer Senior Member

  #4
  Jun 26, 2009
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 154
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Also u could try to repair the windows if u have a copy of a windows run it but don't install new windows gor repair and then type
  chkdsk /r

  it should fix it...
  also try going for safe mode in command prompt if it goes there do the same check disk and hopefully it should solve it...
  goodluck
   
 5. The Farmer

  The Farmer JF-Expert Member

  #5
  Jun 26, 2009
  Joined: Jan 7, 2009
  Messages: 1,585
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  BabaDesi, mimi nimlishapata tatizo kama hili. Hapo huna ujanja Tafuta CD ya windows ufanye re-instalation. Lakini usifanye fresh instalation kwa sababu itafuta kila kitu, chukua option ya Windows Repair

  Ila pia unaweza kufuata option hii ingawaje itakutoa uchache kidogo How To: Fix 'Missing or corrupt <windows_root>\system32\hal.dll'
   
 6. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #6
  Jun 27, 2009
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,795
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Asanteni sana Wakulu kwa ushauri wenu. Kwa bahati mbaya bado nimekwama maana bado sijapata ile cd inayotakiwa. Mkuu SteveD bado sijafanikiwa kuingia pale 'hapa' uliponiambia niingie maana natumia cm ya N95 kuingia mtandaoni na ikifika mahali inakwama ! Kwa tatizo la mwanzo, ninayo cd ya Window Vista niliyotumia kwenye laptop. Je naweza kuitumia cd hiyo ili kure-install ile computer iliyokwama?? Msaada Tafadhali!
   
 7. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #7
  Jun 27, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Ndugu kama ni windows xp tumia cd ya windows xp kuna zile ambazo zinaweza kutumika popote zinazoitwa malaya kama unakumbuka uliwahi kuwa na tatizo na usajili wa windows yako zamani kidogo ukariport kama ndio ile ile basi cd zake ni zile malaya unaweza kutumia yoyote tu lakini hakikika product key yake ni original yako , au upate cd ambayo ni genuine nyingi utaziona zinangaa hivi ,cd ya windows vista inaweza kutumika kwenye laptop hiyo hiyo tu kama ulinunua na laptop hiyo ila wakati mwingine inategemea na aina ya licence iliyokuwa nayo kuna zingine ni kwa ajili ya kuinstall inakupa siku 30 za kutumia ili uweze kusajili kutumia product key ambazo ziko chini ya laptop husika au dekstop husika kama uko dar nafikiri naweza kuku offer genuine cd ya window xp service park 2 , na windows vista naweza kukusaidia kuinstall kama tu una product key yake chini ya laptop cd zangu ni kwa ajili ya kuintall ila lazima uwe na licence zako mwenyewe
   
 8. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #8
  Jun 29, 2009
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,795
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  mkuu Shy, kwanza nikushukuru kwa kuweza kukumbuka lile tatizo langu la mwanzo. Yah, ni computer ile ile. Nilijaribu kutafuta ile thread lakini ikawa vigumu kidogo kwa vile natumia cm ya mkononi ku-surf. Asante kwa maelezo lakini Window os yangu haina genuine product key kwa vile nilichezewa mchezo na walioniuzia. Hili la kuniuzia genuine window os halina tatizo. Dharura yangu sasa hv ni ku-sort out hili tatizo linalosababisha nikose mengi JF! How do i go about hususani hili la cd malaya na kuwa product key yake original na pia bei Thx.
   
 9. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #9
  Jun 29, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Nitaweza kukupatia cd hiyo kwa bei nzuri ya alfu 45 itakuwa na keys lakini inabidi ukimaliza kuinstall uchomeke katika mtandao kwa ajili ya update ujaze taarifa zako kuanzia hapo itakuwa ya kwako utaitumia jinsi unavyotaka wewe mwenyewe hii cd pia unaweza kuitumia kurepair incase kitu chochote kikienda mramba kinachohusiana na operating system ni sp 2
   
 10. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #10
  Jun 29, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Kama unaweza kwa maana ya kuwa na resources na knowhow, boot na Ubuntu disc, copy mafile yako muhimu yote kwenye USB drive. Then format and install a brand new windows.

  You will need.

  Ubuntu 8.40 or later disc
  Windows XP disc
  A USB drive with sufficient space.
   
  Last edited: Jun 29, 2009
 11. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #11
  Jun 29, 2009
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Njia ya kwanza iliyopendekezwa inaweza kuwa nyepesi kwa asiye na uzoefu wa computer troubleshooting. Hata hivyo, njia hiyo itafuta content iliyoko kwenye My Documents hali kadhalika Desktop

  Nadhani njia ya pili itasaidia; (Using the Windows Recovery Console) angalia pale mwisho
   
  Last edited: Jun 29, 2009
 12. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #12
  Jul 1, 2009
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,795
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Shy, na Wakuu wengine, asanteni kwa msaada wenu. Computer imefunguka baada ya kupata CD husika kutoka mmoja wa Wadau wangu. Hata hivyo, Shy ninependa kupata ile genuine CD ya Windows OS uliyosema. Tafadhali niwekee bei yake na mobile namba yako kwenye pm ili nijikusanye kisha nikiwa tayari niwasiliane nawe, unaonaje?
   
 13. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #13
  Jul 7, 2009
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,795
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Bado najikusanya ili kupata ile CD ya Window OS aliyosema Shy. Si mnajua tena mambo ya Financial Crisis wameshika chart! Hata hivyo comp sasa imezua tatizo lingine. Ninapoiwasha inaanza na logo ya Dell kisha inafuata logo ya Window kisha inajizima kwa nukta chache halafu inaanza tena mlolongo huo. Kwa kifupi imestuck hapo hapo. Hili nalo ni zao la lile tatizo la mwanzo la OS ama ndio niliuziwa Mbuzi kwenye gunia??
   
 14. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #14
  Jul 8, 2009
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Bila shaka hii ni shida ya OS yako. Ifanyie repair ya window XP kama ndiyo unayotumia.
   
 15. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #15
  Jul 10, 2009
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,795
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  HELP! Nimepata CD ya Windows XP sp2 na katika jitihada za DIY nikajaribu ku-repaire mwenyewe OS yangu lakini nilipofika mahali pa ku-enter chkdsk hakuna kinachoendelea. Kwa vile document nyingi niliisha save kwenye cd nikaamua ku-install upya os yangu. Kosa. Mafaili mengi yakawa yanakataa kuwa installed nikaamua ku-cancel zoezi na kureboot comp. Matokeo yake hata ile logo ya Windows ha4nekani tena na baada ya logo ya Dell screen inabaki nyeusi na upande wa juu kushoto kuna cursor ina flick tu lakini siwezi kuandika chochote. Nafanyaje hapo?? Lengo langu kusolve tatizo langu kwa msaada wa hapa hapa home of great thinkers
   
 16. B

  Bandali New Member

  #16
  Jul 20, 2009
  Joined: Jul 20, 2009
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  connect hdd yako as secondary kwenye comp nyingine na chkdsk/r d:
   
 17. MNDEE

  MNDEE JF-Expert Member

  #17
  Jul 22, 2009
  Joined: Jul 10, 2009
  Messages: 494
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  Jaribu kufuata yaliyoelekezwa hapo juu kurepair, ukireinstall utapoteza data na software ulizoinstall. Ukiamua kuchukua option ya kureinstall hakikisha unazo cd za software zako vile vile ubackup data.
   
 18. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #18
  Jul 23, 2009
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,795
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145

  ...Nimeamua ku-reinstall upya. tatizo ninalopata sasa ni kama ulilosema. nimepoteza software nyingi zilizokuwemo. Pia kila baada ya muda fulani, kwenye screen kulia chini kunakuja meseji kwamba 'Windows was unable tu save file xxxxx. The data has been lost'. Hii ni kwa nini? pia baada ya kumaliza ku-reinstall sasa ninapooweka DVD ilikucheza picha ama muziki napata mesage ya 'Windows cannot play disc because a Compartible DVD Decorder is not Installed in your Computer'. nafanyaje hapa??
   
Loading...