Msaada windows 8

nzalla

Member
Mar 15, 2011
31
0
Wadau wenzangu wa jf natafuta cd ya windows 8, mwenye nayo naomba anisaidie kuipata. Hata kama kuna gharama ya kuchangia nitajitahidi nichangie.
 
tafuta humu humu kuna watu walishatoa link sehem ya kuipakulia.. ila utabidi uwe na internet yenye spidi pamoja na bando la kutosha..
 
then unapoomba kitu kama hivyo inabidi utaje na eneo ulipo ndo inapendeza maana unaweza kua mwanza mi nipo mtwara ntakusaidiaje?
 
Mkuu inabidi useme location, mana kama upo nje ya dar,ukishadownload kuna suala la kuiburn,na original inahitaji DVD5 8.5GB ingawa haijai yote,sijui kama mikoani zipo
 
tafuta humu humu kuna watu walishatoa link sehem ya kuipakulia.. ila utabidi uwe na internet yenye spidi pamoja na bando la kutosha..

kama alivyosema mdau hapo juu, link zipo wewe na muda wako wa kuperuuziii na kudaadiiisi forum
 
Back
Top Bottom