Boniphace17
Senior Member
- Jul 19, 2012
- 118
- 42
ndugu wana jamvi, salaam!
Nimepiga window7 (ambayo haina keys) kama miezi mi3 iliyopita na sasa imeanza ku disable features kama display na internet..
Kuna mdau akanijuza kua ni kwa sababu cku activate windows!
Swali, je naweza piga tena the same window na ku activate na ikafaa?
And if YES, plz help me know HOW do i activate dis window (steps to follow)
Natanguliza shukurani..