dreamchaser18
Member
- May 21, 2014
- 88
- 36
msaada wakuu nilikuwa natumia window 7 lakini baada ya kupiga window 8 nashindwa kuinstall word
ni kwenye pc mkuu kila nkijaribu kuinstal microsoft word 2007 inakataaHebu fafanua vizuri maana sijakupata!!
hapanaunapata sms?
hakuna error nafuata step zote naweka hadi product keys ila ikianza ku-instal inachukua mda mrefu haimalizisteps gani unafuata na unamaanisha nini kuwa inakataa? kuna error? una Windows 8 version ipi etc.
hakuna error nafuata step zote naweka hadi product keys ila ikianza ku-instal inachukua mda mrefu haimalizi